Saturday, October 18, 2008

MACHINGA ULAYA WAPO PIA


Machinga wa Ufini akiuza matunda pembeni ya barabara. 


Unajifunza nini kuhusu hiyo picha niliyopiga jana kati kati ya jiji la Tampere.

2 comments:

MARKUS MPANGALA said...

wakati fulani huawa najiuliza labda akili zetu huwa tunaazima mahala kwahiyo kuna muda tunazirejesha. pale mchikichini patatosha nini kama siyo kuta kuwaua watoto wa watu. wamejazana kama nini sijui, halafu wanadanganya eti lile jengo la MACHINGA COMPLEX, yaani tunajenga mighorofa hovyohovyo tu sijui ndiyo uchumi wa mafisadi? au nisaidie hapo nahisi akili inagota

Aliko said...

Kazi kwelikweli lakini tutafika tuu... biye