Thursday, October 23, 2008

MAKAZI YA WAZEE:Ni kuwajali au kuwabagua?


Majengo wanayoishi/kutunzwa Wazee ktk mji wa Tampere

Kwa nchi nyingi za magharibu ni suala ambalo sio geni kukuta makazi ya wazee kama hapa.
Majengo unayoyaona pichani ni makazi ya wazee na ofisi za wahudumu mbalimbali kuanzia wa Afya,usafi na mambo mengine muhimu.



2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Binafsi nimeliangalia sna hili swala kila mtu na lwake ukiangalia ktk blog yangu mwanzoni mwanzoni utaona. sijui labda ni nchi hizi za scandanevia tu au. Wnashindwa kuwatunza wazazi wao wanasema kama ulivyoandika hatuna nafasi mimi lazima nifanya kazi mimi sasa nina familia yangu. Je hajawaza kama bila huyu bibi, babu hangakuwepo hapa duniani. Kwani hata wajukuu nao hawana nafasi kuwahudumia bibi/babu. Kwa kwli mimi sitaki kabisa swala hili lipelekwe TZ watacheka sana kwanza hawataelewa. Lakini pia tusisahau kila nchi wana tamaduni zao vipi wanashirikiana. Umegundua pia kuhusu chakula watu wanapika chakula kwa lupima.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Kweli kama ulivyosema dada yangu.

Hakika kila watu na tamaduni zao.

kwetu tuna utamaduni na mila za kuwaenzi na kuwaheshimu wazee achilia mbali baadhi ya watu ambao wanawauwa vikongwe kutokana na imani za kishirikina.

ila kubwa kweli kwetu hatuhitaji