Thursday, October 23, 2008

KWELI SIKU HAZIGANDI:KAMA KINYONGA

Hali ya hewa ilianza kushuka kishkaji hapo 10 plus.


Mji ulikuwa kama hivi ka mwanga kakiaina

Dalili za mvua ni....


Eti watu wa hapa wanasema baridi bado..sikutisha huko?




Mara mmh! ndio mambo ya PARAPANDA mmh!
Kwaheri ze kiangazi..tutakumiss sana
















1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kweli kwa heri kiangazi, kwani hata hapa ee bwana we baridi kweli natamani ningekuwa bongo