Monday, October 27, 2008

UNAWAKUMBUKA KWA LIPI?

Mama Theresa akiwa na Papa Yohane II.

Unawakumbuka watu hawa hapa juu kwa lipi?



Naamini kwa namna moja ama nyingine uliwahi kuwaona au kuwasikia wakati wa uhai wao.


Nawatakia siku njema ..safari inaendelea..


TUTAFIKA TU

10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

wote ni watakatifu au nimekosea?

Mzee wa Changamoto said...

Asante saana Kaka Edo. Ni swali zuri la wakati. Wanakumbukwa kwa namna walivyojitolea kwa jamii waliokuwa wakiiongoza. Kuna mengi mema ya kuwakumbuka hasa msimamo wao katika Haki za binadamu na kusaidia wenye uhitaji.
Asante Edo kwa kumbukumbu nzuri.
Blessings

luihamu said...

mimi siwakumbuki.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Mutibwa nashukuru tena kwa kufika hapa kwenye safari yetu.

Hakika walitumia muda wao mwingi katika kujishughulisha na masuala ya kibiinadamu.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Luihumu...haya kaka kila mmoja ana uhuru wa kutuoa mawazo na maoni yake..

One love

Simon Kitururu said...

Mamkumbuka Sista teresa kwa kuamini katika masikini wabaki masikini kwa kuwa ni rahisi kwenda mbinguni na Papa kwa kuongelea Kondomu wakati hafanyi ngono.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

safi sana kitururu, vitu vingine vinachanganya ktk jamiiyetu. papa hafanyi ngono wala nini. bora angeongelea hutoaji wa sadaka na kuwaandali mapadri makanisa mazuri na masista

Anonymous said...

Swaiba leo naona unewatoa watu wako ehh!!
Tutafika tuu swaiba!

Subi Nukta said...

Ninamkumbuka Mama Teresa kwa kumsoma kazina matendo yake kadiri ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari.

Kipekee, ninamkumbuka Papa YPII alivyokuwa ameketi kwenye kiti chake katika kanisa ndani ya St.Peter's Basilica mwaka 2002 na 2003 akiwa ameshika tama wakati wa masomo ya ibada na hatimaye kusogezewa kipaza sauti kila alipotaka kusema kulingana na utaratibu. Zaidi sana ni pale alipokuwa anafurahia na kunyanya mikono juu kuchezesha vidole pale wimbo uliokuwa unaimbwa na wana Jumuiya ya Sant'Egidio wenye kiitikio hiki: "Noi non abbiamo molte ricchezze,
non abbiamo né oro né argento
solo la parola del Signore:
alzati e cammina con noi!" tafsiri yake kwa KiIngereza "We do not have too many riches
as we don't have silver or gold
We only have the Word of God
Stand up and walk on with us!"
Na mwishowe picha mbili za karibu tulizoweza kupiga tukiwa umemzunguka kwenye kiti chake cha UPapa.
Wapumzike kwa amani.
Na wapate kikao chema yalipo matumaini yetu.

Anonymous said...

mama theresa aliwahi kusema,maneno ambayo nayapenda sana,"if you always judge people,you wont get time to love them"...

kimtu mwafrika...