Monday, November 24, 2008

KUMRADHI ..NILIPOTELEA HUKU!

Kwa takribani juma zima nilipotea hapa kwenye SAFARI yetu.


Hii ilitokana na majukumu mengi niliyokuwa nayo kwa muda wote huo.Lakini uzuri kuna "midako" kibao nimepata hukooooooo nilipokuwa nimejihifadhi.


Sasa ni wakati mwafaka wa kuli SONGESHA ...riiiiiii gwarideeee ili tuelekeeee mitaaa ya senterooo...


Tutafika TU

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

karibu tena edo kwani tumekumiss sana.

Mzee wa Changamoto said...

Karibu tena.Twasubiri "sot-kulia" uliyorejea nayo toka SAFARINI

EDWIN NDAKI (EDO) said...

asante sana Yasinta na Mzee wa Changamoto..sasa tuendeleze safari yetu.

asanteni sana kwa kuzidi kunitembelea