Wednesday, November 5, 2008

NI OBAMA :TUTAFIKA TU

Rais mteule wa USA


Changes...inawezekana....




Ni habari njema hatimaye ile safari ya Obama amefika.




Martine Luther alisema..I have a dream ..nafikiri sasa imekuwa kweli

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edo ni kweli sasa imetimia yote ni mikononi mwa Obama.

Anonymous said...

Kaka leo nimepita huku Ebwana kila mwafrika anafurahia ushindi wa bwana OBAMA tunajisifu kuwa na mtu kama huyu.

sina mengi kaka wengi wamesema sana kuhusu huu uchaguzi na matokeo kwa ujumla

naomba kukupongeza kwa hili
pamoja Tutafika

Anonymous said...

Tutafika tuu