Tuesday, November 11, 2008

MIRIAM MAKEBA HATUNAYE TENA - RIP

1963:Miriama Makeba 'akihutubia' UN kuhusu ubaguzi wa rangi. Daima alithamini na kupenda mavazi yenye Nakshi za kiafrika Natazama filamu ya Sarafina ndio nabahatika kuiona kwa mara ya kwanza sura ya Miriam Makeba baada ya kusikia tu RTD.Aligiza kama mama wa Sarfaina mmoja wa wahusika wa kuu kwenye Filamu. Jana 10,2008 baada ya tamasha huko Italy.Mama Afrika hatunaye naye tena!.Ndio.Kafanya mengi sana.Katumia vema talanta yake kutetea haki za wanyonge.Katangaza utamaduni wetu wa kiafrika. 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Miriam Makeba mahala pema peponi.Amina Tutafika TU

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Marehemu astarehe kwa amani.