1963:Miriama Makeba 'akihutubia' UN kuhusu ubaguzi wa rangi.

Daima alithamini na kupenda mavazi yenye Nakshi za kiafrika
Natazama filamu ya
Sarafina ndio nabahatika kuiona kwa mara ya kwanza sura ya Miriam Makeba baada ya kusikia tu RTD.Aligiza kama mama wa Sarfaina mmoja wa wahusika wa kuu kwenye Filamu.
Jana 10,2008 baada ya tamasha huko Italy.Mama Afrika hatunaye naye tena!.Ndio.Kafanya mengi sana.Katumia vema talanta yake kutetea haki za wanyonge.Katangaza utamaduni wetu wa kiafrika.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Miriam Makeba mahala pema peponi.Amina
Tutafika TU
1 comment:
Marehemu astarehe kwa amani.
Post a Comment