Thursday, December 4, 2008

POMBE INAONGOZA KUSABABISHA VIFO UFINI

Habari zilizo toka zinaonyesha POMBE  inaongoza kwa kusababisha vifo au magonjwa yanayohusiana na pombe.




DUH! hii dunia.


Kuna baadhi ya nchi njaa inasababisha vifo.
Kuna baadhi ya nchi vita inasababisha vifo.



Yaani hapa eti watu GAMBE (pombe) ndio chanzo kikubwa cha vifo.
  

3 comments:

Unknown said...

Mzee Edo, aaaaaah! wanakufaje hao? kama "ze gongo" "pingu" haziui bongo? basi itabidi nije huko maanake nikiona hivo udenda wanitoka !!

Yasinta Ngonyani said...

Na wafini wa ugimbi ndio wenyewe! sio ajabu kama wanakufa sana

Mzee wa Changamoto said...

We Edo wee. Hata huagi? Haya twasubiri mshindo mkuu utokanao na hicho kimya kingi.
Be safe