Tuesday, February 10, 2009

FEST AFRIKA YALIYOJIRI


Mpiga solo na muimbaji wa The Ngoma Africa Christian Bakotessa a.k.a Chris-B
THE MPONDA'S kutoka kulia Catherine Mponda,Menard Mponda,Deo Mponda na Michael Mpona

Kundi la TOOTHPASTE wakikamua

Mzuka ulipowapanda TOOTHPASTE

Picha zote kutoka kwa Jyrki Kallio

6 comments:

Anonymous said...

inaelekea maporomota wa ufini,wanayaweza? mnadiriki kudhamini hadi ngoma afrika....
eh kweli mambo yenu si mabaya,sasa tunaonaga katika maonyesho mengi Ras makunja na bodyguard wenye miwani na suti nyeusi!vipi?nanyi mlimudu kumwekea ulinzi huo!
haya tunawaomba ngoma afrika mje Sweden

Anonymous said...

hi!kuhusu swala la ulinzi,wadaku wanamjua ras makunja,wametonya kuwa ulinzi huwa analazimishwa tu,tena mara nyingi unamnyima raha,lakini inasemekana juu ya jukwaa huwa moja ya waneunguaji wake wa kike moja wapo anakuwa mlinzi wake !ras katika style ya gadaf !utagundua hilo wawapo jukwaani mshabiki akipanda utaona moja ya wanenguaji anakuwa mbele au nyuma ya ras kuziwia chochote,tena hao akina dada wanacheza karate.

Anonymous said...

lakini ras makunja hana nyodo kama Kofi?maana mwenzie mopao mara nyingi sana anadondoka na wacheza show wake,ras makunja sijui kama ana mchezo?mwanamziki uwezi kumuamini....

Anonymous said...

kiumbe wa hajabu ras makunja,mimi unaponishangaza pale unapoyashikia bango mambo ya wenzio,mbona yako uyaweki adharani?

Anonymous said...

mambo gani tena ya makunja wekeni hadharani..

Anonymous said...

juzi juzi tu tumepata tetesi baada ya kutupiana mawe na baba wa kambo,ras makunja kaongwa miwani ya zahabu na baba wa kambo hili wamalize zogo,hili makunja mwenye alisemi !lakini hasimuone fisadi kafumaniwa!!!mungu wangu litakuwa zogo la kimataifa