Sunday, February 22, 2009

KILA LA KHERI TAIFA STARS


Taifa Stars leo inashuka katika dimba la Felix Houphet Boigny Ivory Coast  kuwakabiri Simba wa Teranga, Senegal katika mchezo wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani(Chan).

Nawatakia kila la kheri na nina imani nao kubwa sana kwamba watashinda mpambano wa leo.


Mnaweza na tupo pamoja..


Kila la kheri Taifa Stars


No comments: