Kiongozi wa The Ngoma Africa Band Ras Ebrahim Makunja ndani ya Tampere leo asubuhi.
Kutoka kushoto Chriss B,Willy Mbiya,George Matovu,Menard Mponda na Ras Makunja.
Chriss B mpiga gitaa la solo akiwa na kiongozi wa The Ngoma Africa Band Ras Makunja.Hapo ni leo asubuhi baada ya kuwasili.
Hali ya hewa mbaya haikuweza kuzuia The Ngoma Afrika Band kutua UFINI
10 comments:
Hao wengine watafika saa ngapi?Mtujulishe mapema vilevile...
naona safari hii tunapata imani mapema..maana naona picha hadi za wasanii wakiwasili
Tabia na Jah wametoa show ya nguvu..
@Kibunango: :-)
wazee wa ngoma africa tunawakubali !kweli nyinyi ni mzimu wa mziki,lile jukwaa mlilitawala na kututoa jasho washabiki katika nchi ya barafu!!!
Bab K!
kaka ras makunja !mie nakuzimia pale unapohamrisha kikosi chako!cha FFU kupiga gwaride juu ya barafu! moto huo huo
he! bwana Ras Makunja vipi?
tena nawasikia wadaku wazusha,heti sasa mnatishiana bakora na Baba wa kambo?nje ya mahakama! kwasababu hile kesi yenu michuzi kawaminyia?
nasikia heti nyini ndio mlio anza kumtisha baba wa kambo kwa f.f.u?
sasa bifu hili litakwisha lini????
unajua hawa jamaa mie wananiacha hoi kwa kupenda ligi,katika ushindani wa mziki,pamoja na maneno yao mara nyingine yakuwa nusu shari au shari hielekeayo katika ugomvi! any way ndio mziki,lakini punguza kidogo madongo bwana kichwa bin ngumu.
ngoma africa mlivyotoa meno mmependeza utafikiri watu wazuri kimziki!lakini mkiwa jukwaani jamani !mnageuka mbwa mwitu!!!??
kila atakayesogea kang'atwa!
Lakini jamaa wana moyo na barafu zote wamekubali wito!
Post a Comment