Friday, February 6, 2009

THE NGOMA AFRICA BAND WAWASILI UFINI EO


George Matovu(wa kwanza kushoto) akiwakaribisha uwanja wa ndege The Ngoma Africa Band punde baada ya kuwasili leo asubuhi jijini Tampere ,Finland.

The Ngoma Africa Band wakiwa tampere leo asubuhi baada ya kuwasili.Kutoka kushoto Willy Mbiya,Chriss B,Ras Makunja,Maxim Buanda.


The Ngoma Afrika Band aka FFU au mashabiki wake wanawaita The Golden voices of east africa wamewasilia asubuhi ya leo kwa ajili ya Onyesho la FEST AFRIKA WINTER JAM litakalo fanyika hapa Tampere kesho jumamosi tarehe 7 feb,2009.

ONYESHO LITAFANYIKA UKUMBI WA KLUBI TAMPERE

KIINGILIO: 10 EURO

N:B
Picha zaidi zitawajia muda si mrefu

4 comments:

Anonymous said...

ras Makunja anavyo tabasamu! utafikiria mtu!kumbe akipanda jukwaani ni SIMBA asiyefugika,tena umependeza na kikosi chako cha watoto watukutu wenzio,lakini kaka!mie nahogopa najua wewe ni simba hata ukitoa meno!sio tabasamu bali unataka kula nyama,tena mwanamziki usiyepitwa na jambo! loh!kisa kidogo tayari umeshakitungia wimbo?mbona tunasikia umeongwa miwani ya zahabu siye tunaminya tu!

Anonymous said...

mkuu ras makunja nakupigia salute.... yaani pamoja na barafu umeliongoza jeshi kati ya UFINI?
eh!eh! teh!teh! kweli mwanaume wa shoka!

Anonymous said...

kiumbe wa ajabu ras makunja!!!!!!!!!!!!!kaka inamaana kama mwanamziki sio mjeshi hana nafasi ya kazi katika bendi yako?
sasa winter yote lakini unapiga tour? haya weheeeeeeeee

Anonymous said...

kila siku mawe mawe tu hata siku moja sikusikii kumsifia mpenzi wako?kwani we ras makunja ndio tuseme hauna mpenzi wa kumsifia?basi miye ninae binti yangu nitakupa bure