Wednesday, February 4, 2009

LIVESHOW FINLAND :TABIA MWANJELWA

Tabia Mwanjelwa ndani ya sanaa.
Tabia Mwanjelwa akikung'uta gitaa .Inapendeza kuona mapinduzi kama haya
Tabia Mwanjelwa


Fest Afrika Winter Jam,February 7,2009 tampere Ufini. 
Wakazi wa ufini na nchi za jirani  ,watapata fursa ya kumuona live mkongwe katika muziki wa (Afro-Rhumba).


Kuna mengi tusiyoyajua kuhusu Tabia.Vuta pumzi soooon..mambo yatakuwa hadhalani.
Hakika itakuwa siku ya kukumbukwa kwa watakao bahatika kuhudhuria onyesho kwa mujibu wa wasanii wenyewe...

Tutafika tu

3 comments:

Kibunango said...

Safi sana, tunamsubiri kwa hamu kubwa sana.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

najua itakuwa hapatoshi kamanda.

maana ili ufaidi inabidi unapita kwanza "sema" alafu ndio juu kwa juu show tamu zaidi..aaa aa Kibunango

Kibunango said...

Mpaka dakika hii, kwenda Sema ni ndoto