Tuesday, February 3, 2009

THE NGOMA AFRIKA BANDA NDANI YA UFINI

Kikosi cha kutuliza Ghasia(FFU)  na kuleta burudani wakiwa na zana za kazi!

Amini usiamini!!!

The Ngoma Afrika Banda   yenye makazi yake kwa sasa Ujerumani,wanatua UFINI kwa ajili ya ONYESHO la kukata na Mundu chini ya uongozi wa Ras Ebrahimu Makunja.

Mambo matano usiyoyajua kuhusu Ngoma Afrika Band!
Usikose habari zao karibu zinamwagika...

Tutafika tu



7 comments:

MKOKOZI MWANZA said...

Edo hawa wakubwa nawasikia sana naweza kupata wapi kazi zao nizisilize?

Maana nimekuwa nikisoma habari zao ninahamu yakusikia maana naona jinsi walivyo vaa kikwetu naamini wanamengi ya kutuwakilisha.

Anonymous said...

Inaonekana patakuwa hapatoshi...

Mi nipo hapa Köln niliwa hushuhudia onyesho moja hapa mji wa jirani ingawa muda mrefu ila jamaaa wapo fesh sana..

Kingine wapo fresh sana pia kupiga hata nyimbo mbalimbali za bongo achilia mbali za kwao.

MARIC -DE

Anonymous said...

sasa hao jamaa kama ni watanzania na wazalendo kwanini hawafanyi maonyesho huku bongo?

Maana binafsi sijawahi hata siku moja kuwaona hapa bongo na mimi napenda sana mambo ya muziki.

Natumaini bw Edo kwa kuwa upo nao sasa hivi huko Finland uwaulize kabisa.

Anonymous said...

Samahamo waungwa,hivi kwenye hilo tangazo namuona na Jah kimbute,hivi naye yupo kundi moja na ngoma afrika?

Anonymous said...

Ndaki sema naona umerudi..maana unaweza kupotea hata siku tano..lol..

by the way do you know if tabia mwanjelwa also is the member of that band?

I like her..i wish i could be there to see her..mwambie akitoka huko aje na UK..

Lily M

Anonymous said...

Kimbute Jah ..yaani nakumbuka alikamua siku moja hapa Sweden utafikiri bob kazaliwa upya..

Jamaa yupo njema sana kwenye kazi zake..Najua ngoma frika ukijumuisha na Ras Jah Kimbute basi hapo Full Jamaica

Anonymous said...

Vipi jamaa wanapiga bongo flavour,taarabu,raggae? hebu tujuze

Mbona sioni hata mwanamke mmoja..hebu waulizeni..Ngoma gani hiyo bila mwanamke itakesha kweli ?au ngoma ya watoto?..alooo nicheke mie..