Sunday, May 24, 2009

HAPPY B'DAY DINAHICIOUS BLOG

Natumia nafasi hii kutuma salaam zangu nyiingi na pongezi kwa niaba ya wadau wengi,kumpongeza dada Dinah kwa blogspot yake kutimiza miaka miwili. http://www.dinahicious.blogspot.com/. Tuunganishe katika kuonyesha mafanikio sasa hivi Dinah unaweza pia kumsikiliza moja kwa moja(live) kupitia BONGO RADIO .Radio inayopatikana duniani kutoe kupitia kwenye mtandao kupitia http://www.bongoradio.com/ Hongera Dinah! tutafaika tu

2 comments:

Anonymous said...

ASANTE EDO SIKUJUA KAMA NAWEZA KUSIKILIZA REDIO LIVE KWA KISWAHILI NIKIWA HUKU UGHAIBUNI..THANKS FOR THE LINK

Dinah said...

Awww!
Asante Edo. Nimekuwa mwingi wa shughuli siku hizi basi hata muda wa kupita huku haupatikani.

Shukrani sana Kaka...