Wednesday, May 20, 2009

'NESI' AHUKUMIWA MAISHA BAADA YA KUUWA


Katariina Lönnqvist akiwa mahakamani picha kutoka Alibi.fi

Mahakama ya jiji la Tampere ,hapa Ufini imekuta na hatia ya kuuwa 'nesi.

Katariina Lönnqvist(27) amekuhukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kudunga midawa mgonjwa na kumpelekea mauti katika kituo cha Ylinen rehabilitation centre mwaka jana.

Kana kwamba hiyo haitoshi Nesi mwaka jana alifanya jaribio jingine la kutaka kumtoa uhai mtoto kwa kutumia insuline.





Habari zaidi kwa ung'eng'e soma HAPA


Tutafika tu

No comments: