Tuesday, May 19, 2009

The Ngoma Africa Band Kutingisha Masala Festival Hannover!

Ras Makunja na Ngoma Afrika band jukwaani katika moja ya shoo zilizopita

Bendi ya Ngoma Africa wanatarajiwa kutingisha katika tamasha kubwa la "Masala Festival"siku ya 14 juni 2009.


kutokana na habari zilizomo katika gazeti la Africa News linalochapishwa Italia na kusambazwa Ulaya kote The Ngoma Africa Band aka FFU watakamua bila huruma !


pia katika matamasha mengine makubwa !pia watarudi tena Ufini hapo 18 -7-2009,bendi hiyo pia inatingisha maonyesho mengine makubwa barani ulaya ratiba kamili itakuja.


Habari zaidi bofya

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

aise hii itabidi nije huko Ufini. maana hiyo ngoma hakuna kulala hata kama hujala kazi kwelikweli

EDWIN NDAKI (EDO) said...

ni kweli dada yasinta hawa waheshimiwa wako juu sana.

karibu sana ufini

Anonymous said...

wazee wa kukaanga mbuyu aka ffu au Ngoma Africa na mzuka wao?wajamaa hawa utafikiri hawana hakili nzuri
ngoma yao

Anonymous said...

ras makunja bin bwana kichwa ngumu wa madongo mazito! vipi sasa mambo yanaendaje huko Ujiji

Anonymous said...

hiiii!!!! vichaa wangu vipi?mtarudi ufini tena?te te te!!
mlituachiaga kumbu kumbu ya milele
siku hile nilisakata ngoma na mai nani hii girl nanii wangu? mpaka liamba

Anonymous said...

wazee wa ngoma afrika,mi ninauliza kwa nini? mkuu wa kikosi chenu ni mtu wa madongo na majiwe? tena nimegundua kuwa anakuaga tayari tayari kwa kuyarusha hewani kwa haraka kabla hamajarushiwa nyinyi?

Anonymous said...

heti! kaka braza ras makunja
kuna uzushi usemao heti wewe wakati mwingine unavuta ucheche kwa bi.mkubwa donatella versace?
pia uvutaji huo wa kitu kidogo umeharibu urafiki wenu na Naomi?

Anonymous said...

hiiii!! Bab kubwa wachizani wetu hawa kazi wanaijua ngoma mpaka liamba