Sunday, June 21, 2009

LEO NI SIKU YA BABA DUNIAN

Baba akiwa amembeba mwanae.

Natumia upenyo huu kuwaombea kwanza wakinababa wote walioga dunia.RIP.Pia nawatakia maisha marefu yenye baraka wakina baba wote ambao bado wako hai.Nawakumbusha baba aliyebora ni yule mwenye upendo na anayetimiza wajibu wake.

Nawapa pole wakina baba popote duniani wanaotaabika na kuhangaika ili kufanisha ustawi wa jamii zao.

Nawakumbusha pia "washua" madwanzi ambao wao wametelekeza familia na watoto kwa sababu mbalimbali wanazojua.

Happy fazazi dei wakinababa wooooooote..

Tutafika tu