Kiongozi wa Ngoma Africa Band Ras Makunja
The Ngoma Africa Band aka FFU!na mdundo wao wa "Bongo Dansi" wanatarajiwa kutingisha jukwaa lingine katika onyesho kubwa la Afrika Festival litakalo fanyika mijini Goeppingen,Ujerumani siku ya jumamosi ya 4 Julai 2009 saa 2.00 Usiku.
Bendi hiyo maarufu na dansi lake linalowatia kiwewe washabiki huko ughaibuni, wanasubiliwa kwa hamu na washabiki katika onyesho hilo.Wasikilize hapa
pia unaweza kuwasiliana kwa kupitia
4 comments:
mmmmmmmm!!!! ras umepigwa mswaki vizuri sana meno yako meupe,hila vinavyotoka mdomoni mwako!.
mna kingekewa,naona mmekusanya maonyesho mengi au?
vipi kaka makunja mbona mnatishiana mbwa na mkubwa mwenzio?si mngeyazungumza mkamaliza shauri.
Hello Mzee Kichwangumu naomba kukuliza,nasikia umemfanyia kweli kizabizabina??
Post a Comment