Tuesday, July 21, 2009

COMPUTER YANGU IMEPATA ITILAFU

Nawashukuru sana wadau kwa kuendelea kupita hapa kwenye kablog ketu.

Ila kwa sasa nimepata katatizo na "Computer" yangu,na sasa naendelea najitihadi ya kuirekebisha soon mambo yakuwa mswano...

Tupo pamoja

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana kaka Edo. Natumaini marekebisha yatakuwa mazuri na utakuwa nasi karibuni tu.

Anonymous said...

kaka Edo hii kompyuta yako imekaaje?naona hili sasa soo la kutaka tukuchangie mtambo mpya,mwanawane

viva afrika said...

ili zoezi lako liwe jepesi zaidi kaka edo mi naomba uniuzie hii komputa nimeipenda sana, sitauliza uwezo wake ninachoamini ni kuwa itanifaa.

Unknown said...

VIVA AFRICA yaani hiyo kompyuta ndio urithi kuuza itakuwa ngumu..inaspeed kali sana..aaa