Wednesday, September 2, 2009

NANCY SASA KUBLOG KISWAHILI...

Nancy moja ya picha yake utakayo kutana nayo kwenye blog yake ya www.naxylady.blogspot.com

Kati ya mambo ya kuvutia ni kuona blogger wanavyozidisha harakati za kuhabarishana.Kati ya blog inayokuja juu kwa sasa ni ya ndugu yetu NANCY.

Nancy amekuwa akiblog kwa kiinglish na kiswidi ..Sasa ameamua kuanza kublog pia kwa lugha mama ya kiswahili.Kwa mambo ya mitindo,ubunifu na habari mbalimbali za Sweden na dunia kwa ujumla mtembelee kwenye blog yake.


Kila la kheri Nancy tupo pamoja.


Tutafika tu


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Safi sana tena sana.

Unknown said...

Ahsante Edwin! Tuko pamoja..sasa kiswahili mtindo mmoja au sio? in btw nimeipenda blog yako... keep it up.