Nawatakia kila la kheri na baraka za Mwenyezi Mungu katika kushere siku ya Eid Mubarak.Baada ya siku 30 za mfungo wa Ramadhani ni wakati wa kusherekea siku ya Eid Mubarak.
Tuendelee kuishi maisha yale yale tuliyokuwa tunaishi wakati wa mfungo kwani ndio kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Nawakatikia siku njema
5 comments:
Nami nawatika wote eid njema popote mlipo.
Same 2 u bro EID MUBARAK
kaka ndaki.
mtembele nyahbingi worrior.
unawakatikia nini:-)
poa kaka nakuja Nyahbingi
Post a Comment