Sunday, September 20, 2009

NAWATAKIA EID MUBARAKA

Nawatakia kila la kheri na baraka za Mwenyezi Mungu katika kushere siku ya Eid Mubarak.

Baada ya siku 30 za mfungo wa Ramadhani ni wakati wa kusherekea siku ya Eid Mubarak.

Tuendelee kuishi maisha yale yale tuliyokuwa tunaishi wakati wa mfungo kwani ndio kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Nawakatikia siku njema


5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nami nawatika wote eid njema popote mlipo.

Mzee wa Taratibu said...

Same 2 u bro EID MUBARAK

nyahbingi worrior. said...

kaka ndaki.

mtembele nyahbingi worrior.

Anonymous said...

unawakatikia nini:-)

EDWIN NDAKI (EDO) said...

poa kaka nakuja Nyahbingi