Wednesday, February 24, 2010

KATIA JUA NA "AISHIKIRIMU" BORA NINI?

Uwanja wa michezo wa jiji la Tampere (Ratina Stadium ) Leo february,2010
Ratina Stadium wakazi wa kiangazi (summer),july,2009
Baiskeli imefunikwa na theluji ...
Magari yanafunikwa na theruji....hali ya hewa jiji Tampere ilikuwa inaenda hadi nyuzi joto -22 wakati baadhi ya miji hadi -30 C.Na mbaya zaidi inakuwa pale kunapokuwa na upepo mkali basi ndio unaona kama vile upo kwenye jokofu.
Tutafika tu..

6 comments:

chib said...

AISHIKIRIMU NAONA NI BALAA TU, Bora kajua ka wastani unaweza kusavaivu ndugu yangu.

Mija Shija Sayi said...

Bora jua

MARKUS MPANGALA said...

ha ha ha ha ha BORA JUA AU BORA MVUA...... ASHKRIMU NOMA

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Huko kazi kweli mnayo!

Bennet said...

SIjui wapi afadhali maana huku uswazi sasa hivi kama huna kiyoyozi basi unaweza kujikuta unalal nje iliangalau upate hewa kidogo
Lakini bora joto maana hiyo aishkrimu huwa inaua watu sana

Simon Kitururu said...

Nimependa jina AISHIKIRIMU.
Nakumbuka mara ya kwanza kujua hii kitu kali ni nilipotembelea Lapland mwaka fulani ilikuwa kama -50 na kunaupepo basi wale wadau wasiofunika masikio masikio yakatoka malengelenge kama wameungua moto. Hapo ndipo nilijua baridi ikizidi inaunguza pia.

Tutafika!