Uwanja wa michezo wa jiji la Tampere (Ratina Stadium ) Leo february,2010
Ratina Stadium wakazi wa kiangazi (summer),july,2009
Baiskeli imefunikwa na theluji ...
Magari yanafunikwa na theruji....hali ya hewa jiji Tampere ilikuwa inaenda hadi nyuzi joto -22 wakati baadhi ya miji hadi -30 C.Na mbaya zaidi inakuwa pale kunapokuwa na upepo mkali basi ndio unaona kama vile upo kwenye jokofu.
Tutafika tu..
6 comments:
AISHIKIRIMU NAONA NI BALAA TU, Bora kajua ka wastani unaweza kusavaivu ndugu yangu.
Bora jua
ha ha ha ha ha BORA JUA AU BORA MVUA...... ASHKRIMU NOMA
Huko kazi kweli mnayo!
SIjui wapi afadhali maana huku uswazi sasa hivi kama huna kiyoyozi basi unaweza kujikuta unalal nje iliangalau upate hewa kidogo
Lakini bora joto maana hiyo aishkrimu huwa inaua watu sana
Nimependa jina AISHIKIRIMU.
Nakumbuka mara ya kwanza kujua hii kitu kali ni nilipotembelea Lapland mwaka fulani ilikuwa kama -50 na kunaupepo basi wale wadau wasiofunika masikio masikio yakatoka malengelenge kama wameungua moto. Hapo ndipo nilijua baridi ikizidi inaunguza pia.
Tutafika!
Post a Comment