Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona JUNE 30,2010.Hii ni siku muhimu sana kwangu kwani ndio Siku yangu ya kuzaliwa.
Napenda pia kumshukuru Mama yangu mpendwa Rose na Edward kwa upendowao kwangu.
Nawashukuru ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu kwani wamekuwa sehemu muhimu sana ya maisha yangu.
Asanteni sana na blogggers wenzangu na wasomaji kwani mmekuwa sehemu ya faraja kwangu achilia mbali mara nyingi imeniwia vigumu kutimiza matakwa ya kuweka mitundiko kila kila siku kutokana na kubanwa na mchakato wa maisha.
Bado imani yangu itabaki kuwa ile ile..
Tutafika tu!
Wasalaaam
Edwin Ndaki Edward (Edo Ndaki)
9 comments:
Hongera sana kwa siku hii tukufu/muhimu ya kuzaliwa kwako. Nakutakie kila la kheri kila jambo utakalo lifanya. Na pia uishi mpaka miaka 200 .Upendo daima
Kila la heri kaka, naomba Mungu azidi kuwa nawe, changamka kaka kama hujaanza familia yako binafsi huu ndo wakati muafaka. Birthday ijayo tungependa uwe umekakumbatia kabinti au kakijana ketu.
Kila la heri Kaka Edwin.
Chei chei Eddo!
Hongera kwa kusherehekea sikukuu yako ya kuzaliwa. Nakuombea heri na maisha yenye mafanikio tele.
Hongera sana!
Hongera sana Mkuu!
Happy Birthday dear!! I hope u had a great day because today it is your day out of all 365 days. Congratulations and much much blessings! xx
Hongera kaka Mungu akuongezee miaka zaidi,kila la kheri na baraka katika yote.
kutoka kwa milya family.or rachelsiwa.
sasa bethdei gani hamsemagi mmefikisha miaka mingapi.kama mnaona aibu si mnyamaze tu
Hongera Mkuu. Mungu Akujalie uishi miaka hata 150 ikiwezekana...japo nadhani daima binadamu ataona miaka yake haitoshi...Happy Birthday..
Happy belated bithday son...Tutafika tu...
Post a Comment