Wednesday, July 25, 2012

ALBUM MPYA EXTRA BONGO BAND INAPATIKANA SOKONI BARANI ULAYA ░░░░



Album ya Extra Bongo Band "MTENDA AKITENDEWA

Album mpya ya Ally Choky akiwa na bendi yake ya Extra Bongo Band kwa sasa inapatikana barani Ulaya.Kwa wapenzi wa muziki wa nyumbani unaweza kuwasiliana na Bob Mac number +358 440 915 395 (Finland)

EXTRA BONGO BAND ALBUM
Artists: ALI CHOCKY & EXTRA BONGO BAND
ALBUM: MTENDA AKITENDWA 

TRACK LIST:
1. MTENDA - ALI CHOCKY
2. FALSAFA YA MAISHA - BANZA STONE
3. UFISADI WA MAPENZI - ROBERT HEGGA CATERPILLAR
4. MASHUU - ALI CHOCKY
5. NEEMA - ATHANAS
6. BATUKUTA - SUPER NYAMWELA
7. EXTRA BONGO SHOW - BONUS TRACK
Costs: 15€



Ukikwama, unaweza kuwasiliana nami nitakuwezesha kuweza kuipata...

Tutafika tu