Thursday, August 28, 2008

RASMI:OBAMA KAPITISHWA KUGOMBEA URAIS


Yametimia.Barrack Obama ameidhinishwa rasmi muda huu kuwa mgombea urais wa USA kupitia chama kikubwa cha "Demokratiki"

Ameweka Hisstoria ya kuwa mweusi wa kwanza kugombea nafasi hiyo.Kama livyoamini mwanaharakati Martine Luther.."I have a dream" kweli ndoto zinatimia mtu mweusi leo anaanza kutembea kifua mbele.

Kila la kheri Obama.Mungu awe nawe uingie kwenye hilo " jumba jeupe".Na ukifika uko usisahu uliyowahahidi wamarekani na dunia.

Binafsi nipo upande wako si tu kwa sababu ya rangi yako.La. bali kutokana na mikakati yako ya kuona dunia inakuwa sehemu ya amani.mfano kuondoa majeshi ya USA mapema huko Iraq.

Viva Obama

habari zaidi
http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/7584307.stm

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli ndoto imetimia viva Obama nasema pia

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Yasinta inapendeza sana kuona mabasiliko.

Maana wapo wanao amini mweusi hawezi kitu.

Ngoja tuwaonyeshe tunaweza.

Yasinta Ngonyani said...

mweusi oyeeeeeeeeee. tutafika tu au

Anonymous said...

edwin obama kashafika tusali sasa.nimefurahi kupata blog yako lakini nimekumbuka sana enzi za malimbe unakumbuka ulinisaidia kugawa questionare za research yangu. i wish you the best.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Lupamba nashukuru sana kwa kunitemblea.

Nakumbuka pia kukusaidia kufanya zoezi la kukusanya mawili matatu kuhusu utafiti wako.

Ningefurahi sana kupata mawasiliano yako kuna mawili matatu tuongelee kuhusu ile tafiti.Maana umetokea wakati mwafaka.

Utanipata kupitia
edondaki@yahoo.com

karibu tena kijiweni kwangu