Tuesday, February 10, 2009

NGOMA AFRIKA WALIWAVUTA HADI "BLOGGER"

Blogger maarufu KIBUNANGO ambaye alinaswa mzuka ulipopanda ikabidi apande jukwaani kuwaunga mkono The Golden voices of east afrika ukipenda Ngoma afrika Band

10 comments:

Anonymous said...

eh!bwana !hi! hatari tupu mzimu umewanasa mpaka blogger?!
unajua ngoma afrika nawapenda shughuli yao wanapokuwa ulingoni!
Pamoja kuwa mara nyingi ni wachokozi katika nyimbo zao

Anonymous said...

hi!kibunango! jinamizi la ngoma afrika limeshakuganda,hakuna dawa mpaka waje tena,mzimu ni mzimu

Anonymous said...

unajua siku hile mimi nimekosa show yao hawa wakali ngoma africa!
kwa sababu nilikwenda kazini usiku kubeba box,lakini kama si hivyo ningejiunga na jukwaani na bw.kibunango!mzuka si mchezo

Anonymous said...

inawezekana ngoma africa baada ya kuwasha mto huo lazima walitoweka fasta fasta?maana ndio zao,wanapowasha moto hawataki kuona cheche zinawarudia

Anonymous said...

Masai mambo vipi?

vipi mbona hujaweka jina la huyo dada?vipi ndio shemeji nini?maana naona upo kimya wengine woote umewatambulisha.

weka mambo hadharani

Anonymous said...

hello Ed!

I don't know swahili but i like u're blog.

Also i was Klub last saturday

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Thanks Niina ..am trying to update it..

Your welcome again.

Anonymous said...

hiiii KIBUNANGO KAKA KWELI SHUGHULI WATU! UMEPENDEZA UNAVYORUSHA MADONGO NA VICHAA

Anonymous said...

Kibunango hongera sana waswahili wanasema chereko chereko na mwenye mwana! yaani wewe ndiye baba mwenye mwana !umetoka bab kubwa.

Anonymous said...

Baba kibunango anamtoa mwane uwanjani! kimaso kimaso