Blogger maarufu KIBUNANGO ambaye alinaswa mzuka ulipopanda ikabidi apande jukwaani kuwaunga mkono The Golden voices of east afrika ukipenda Ngoma afrika Band
10 comments:
Anonymous
said...
eh!bwana !hi! hatari tupu mzimu umewanasa mpaka blogger?! unajua ngoma afrika nawapenda shughuli yao wanapokuwa ulingoni! Pamoja kuwa mara nyingi ni wachokozi katika nyimbo zao
unajua siku hile mimi nimekosa show yao hawa wakali ngoma africa! kwa sababu nilikwenda kazini usiku kubeba box,lakini kama si hivyo ningejiunga na jukwaani na bw.kibunango!mzuka si mchezo
10 comments:
eh!bwana !hi! hatari tupu mzimu umewanasa mpaka blogger?!
unajua ngoma afrika nawapenda shughuli yao wanapokuwa ulingoni!
Pamoja kuwa mara nyingi ni wachokozi katika nyimbo zao
hi!kibunango! jinamizi la ngoma afrika limeshakuganda,hakuna dawa mpaka waje tena,mzimu ni mzimu
unajua siku hile mimi nimekosa show yao hawa wakali ngoma africa!
kwa sababu nilikwenda kazini usiku kubeba box,lakini kama si hivyo ningejiunga na jukwaani na bw.kibunango!mzuka si mchezo
inawezekana ngoma africa baada ya kuwasha mto huo lazima walitoweka fasta fasta?maana ndio zao,wanapowasha moto hawataki kuona cheche zinawarudia
Masai mambo vipi?
vipi mbona hujaweka jina la huyo dada?vipi ndio shemeji nini?maana naona upo kimya wengine woote umewatambulisha.
weka mambo hadharani
hello Ed!
I don't know swahili but i like u're blog.
Also i was Klub last saturday
Thanks Niina ..am trying to update it..
Your welcome again.
hiiii KIBUNANGO KAKA KWELI SHUGHULI WATU! UMEPENDEZA UNAVYORUSHA MADONGO NA VICHAA
Kibunango hongera sana waswahili wanasema chereko chereko na mwenye mwana! yaani wewe ndiye baba mwenye mwana !umetoka bab kubwa.
Baba kibunango anamtoa mwane uwanjani! kimaso kimaso
Post a Comment