Pichani tena female bodygurd wa Qadaff wamejipanga kuhakikisha rais apigwi "KOFI" wala kikumbo kama viongozi wetu yanayowakuta nyumbani.
Picha zote kwa msaada wa tovuti mbalimbali
Haya sasa lete zile za kuzome zomea hapa...hakuna kukuna nazi ni kazi kazi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na rais wa Libya Col Mohamed Gaddafi,ndiyo anatajwa kuwa kiongozi mwenye ulinzi mkubwa wa walinzi wa kike.
Kati ya sifa zinazohitaji ili mwanamke aweze kuwa mlinzi wa huyu mweshimiwa mbali na mafunzo ni lazima ale kiapo cha kuwa tayari kufa ili kulinda maisha ya rais.Na pia sifa nyingine awe hajakutana kimwili na mwanaume.
Tupeane maoni kuhusu huu utaratibu.
Naamin imefika kipindi tuwape nafasi walinzi wanawake nao wamlinde Rais binafsi ni muumini wa kuamini yeyote bila kujali jinsia yake anaweza kufanya kazi na kuleta matokeo chanya.
Tutafika tu

2 comments:
naamini tutafanikisha wanaume msiwe na shaka
kweli kila la kheri...naamini tutafika tu
Post a Comment